\v 3 Nilikuwa nafikiri kwamba majanga ni kwa watu wasio na haki, na misiba ni kwa ajili ya watu watendao mabaya. \v 4 Je Mungu hazioni njia zangu na kuzihesabu hatua zangu zote?