\v 17 Nilimnyamazisha mwovu; nilimpokonya manusura kutoka katika meno yake. \v 18 Kisha nilisema nitakufa mahali salama; nitazizidisha siku zangu kama mchanga. \v 19 Mizizi yangu imeenea majini, na umande kukaa usiku wote katika matawi yangu.