\v 9 Wana wa mfalme waliacha kuongea nilipofika; wangeweka mkono wao katika vinywa vyao. \v 10 Sauti za waheshimiwa zililazimishwa, na ndimi zao hazikuweza kuongea vinywani mwao.