\v 1 Ayubu akaendelea na kusema, \v 2 Ee, ningekuwa kama nilivyokuwa miezi iliyopita wakati Mungu aliponiagalia, \v 3 taa yake ilipowaka kichwani pangu, na pale nilipotembea gizani kwa nuru yake.