\v 9 Mtu huchimba mwamba mgumu; hupindua milima katika vyanzo vyake. \v 10 Huweka njia katika miamba; macho yake pale kila kilicho cha thamani. \v 11 Hufunga vyanzo hata wasiondoke; kilichofichika pale hukifunua.