\v 5 Kwa nchi, kizalishwapo chakula, inapinduliwa kama kwa moto. \v 6 Mawe yake yana johari, na vumbi lake lina dhahabu.