\v 1 Hakika kuna machimbo ya fedha, wanaposafisha dhahabu. \v 2 Chuma uchimbwa; shaba uyeyushwa kutoka katika jiwe.