\v 11 Nitawafundisha kuhusu uwezo wa Mungu; sitabatilisha mawazo ya Mwenyezi. \v 12 Tazama, ninyi nyote mmeona; kwa nini basi mmeongea yasiyo na maana.