\v 4 Jinsi gani basi mtu awe mwenye haki kama Mungu? Jinsi gani aliyezaliwa na mwanamke awe safi, amekubaliwa naye? \v 5 Tazama, hata mwezi kwake haungazii; nyota hazikosafi mbele zake. \v 6 Ni vipi mtu, aliyemdudu - mwana wa mtu, aliye mdudu!"