\v 1 Kisha Bilidadi Mshuhi akajibu na kusema, \v 2 "Utawala na hofu vipo naye; anaagiza mahali pa juu pake mbinguni. \v 3 Je kuna idadi ya majeshi yake? Ni wapi pasipo na nuru yake?