\v 20 Mama yake atamsahau; polepole funza watamuuma; hatakumbukwa tena; kwa hiyo, waovu watavunjika kama mti. \v 21 Mwovu anamrarua mgumba; hawatendi jema lolote kwa mjane.