\v 29 Je hamjawauliza wasafiri? Hamfahamu wanavyoweza kusema, \v 30 kwamba mwovu anaepushwa na siku ya shida, na kwamba anawekwa mbali na siku ya gadhabu?