\v 25 Mtu mwingine ufa kwa uchungu wa nafsi, bila kujifurahisha kwa jambo lolote jema. \v 26 Wanazikwa kaburini wote kwa pamoja, funza wanawafunika wote.