\v 1 Tazama, jicho langu limeyaona haya yote; sikio langu limeyasikia na kuyaelewa hayo. \v 2 Kile mnachokifahamu, ndicho hicho mimi pia ninachokifahamu; Mimi siyo duni kwenu ninyi.