\v 27 Je ni kwa agizo lako kwamba tai huruka juu na kufanya kiota chake katika sehemu za juu? \v 28 Huishi katika majabali na hufanya makao yake katika vilele vya majabali, na ngomeni.