\v 13 Mabawa ya mbuni hupunga kwa majivuno, bali je mabawa na manyoya yana upendo? \v 14 Kwa maana huuacha mayai yake katika nchi, na huyaacha yapate joto katika mavumbi; \v 15 husahau kuwa mguu waweza kuyaharibu au kwamba mnyama mwitu aweza kuyakanyaga.