\v 26 Wewe utafika kaburini kwako mwenye umri kamili, kama vile rundo la masuke ya nafaka liendavyo juu wakati wake. \v 27 Tazama, tumelipeleleza jambo hili; ndivyo lilivyo; lisikie, na ulifahamu kwa ajili yako mwenyewe."