Fri Sep 30 2022 21:43:06 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-09-30 21:43:06 +03:00
parent 7e1da9211d
commit 7304d5d5c3
2 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 5 Tazama, masikini hawa huenda kufanya kazi kama punda-mwitu mwituni, akitafuta chakula kwa uangalifu; pengine Araba itawapatia chakula kwa ajili ya watoto wao. \v 6 Masikini huvuna katika mashamba ya wengine usiku; wanakusanya zabibu kidogo kutokana na mapato ya waovu. \v 7 Wana lala bila kujifunika wakati wa usiku; hawana cha kujifunika wakati wa baridi.
\v 5 Tazama, masikini hawa huenda kufanya kazi kama punda-mwitu mwituni, akitafuta chakula kwa uangalifu; pengine nyika itawapatia chakula kwa ajili ya watoto wao. \v 6 Lakini masikini huvuna katika mashamba ya wengine usiku; wanakusanya zabibu kidogo kutokana na mapato ya waovu. \v 7 Wana lala bila kujifunika wakati wa usiku; hawana cha kujifunika wakati wa baridi.

View File

@ -295,6 +295,7 @@
"23-15",
"24-title",
"24-01",
"24-02"
"24-02",
"24-05"
]
}