Sat Sep 03 2022 13:58:47 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-09-03 13:58:48 +03:00
parent eb04095450
commit 2790240096
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 9 Kisha Shetani akamjibu BWANA na kusema, "Je Ayubu amcha Mungu bila sababu? \v 10 Wewe hukumwekea kinga pande zote, kuzunguka nyumba yake, na kuzunguka vitu vyote alivyo navyo kutoka kila upande? Wewe umebariki kazi za mikono yake, na mifugo yake imeongezeka katika nchi. \v 11 Lakini sasa nyosha mkono wako na uyadh yote hayo aliyonayo, na uone kama hatakufuru mbele ya uso wako." \v 12 BWANA akamwambia Shetani, "Tazama, hayo yote aliyonayo yamo mkononi mwako. Isipokuwa juu yake yeye mwenyewe usinyoshe mkono wako." Kisha Shetani akatoka mbele za BWANA.
\v 9 Kisha Shetani akamjibu BWANA na kusema, "Je Ayubu amcha Mungu bila sababu? \v 10 Wewe hukumwekea kinga pande zote, kuzunguka nyumba yake, na kuzunguka vitu vyote alivyo navyo kutoka kila upande? Wewe umebariki kazi za mikono yake, na mifugo yake imeongezeka katika nchi. \v 11 Lakini sasa nyosha mkono wako na uyadhulu yote hayo aliyonayo, na uone kama hatakufuru mbele ya uso wako." \v 12 BWANA akamwambia Shetani, "Tazama, hayo yote aliyonayo una. Isipokuwa juu yake yeye mwenyewe usinyoshe mkono wako." Kisha Shetani akatoka mbele za BWANA.