sw_job_text_reg/18/01.txt

1 line
139 B
Plaintext
Raw Normal View History

\c 18 \v 1 Ndipo Bildadi kutoka kabila la washuhi alijibu na kusema, " \v 2 Je, lini utaacha kusema kwako? Fikiri, na baadaye tutazungumza.