1 line
293 B
Plaintext
1 line
293 B
Plaintext
|
\v 26 Ikiwa nimeliona jua lilipowaka, au mwezi ukitembea katika mng'ao wake, \v 27 na kama moyo wangu umevutwa kwa siri, ili kwamba mdomo wangu umeubusu mkono wangu katika ibada yao - \v 28 hili nalo pia lingekuwa ni ubaya wa kuadhibiwa na waamuzi, kwa kuwa ningekuwa nimemkana Mungu aliyejuu.
|