1 line
230 B
Plaintext
1 line
230 B
Plaintext
|
\v 15 Kwa hiyo, nimetishwa mbele zake; ninapofikiri kumhusu, ninamwogopa. \v 16 Kwani Mungu ameudhoofisha moyo wangu; Mwenyezi amenitisha. \v 17 Si kwa sababu nimeondolewa na giza, wala siyo kwamba giza nene limeufunika uso wangu.
|