1 line
239 B
Plaintext
1 line
239 B
Plaintext
|
\v 10 Lakini anaijua njia ninayoichukua; atakapokuwa amenipima, nitatoka kama dhahabu. \v 11 Mguu wangu umeunganishwa na hatua zake; nimezitunza njia zake na sijageuka. \v 12 Sijaiacha amri ya midomo yake; nimeyatii maneno ya kinywa chake.
|