sw_job_text_reg/23/08.txt

1 line
195 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 8 Tazama, naelekea mashariki, lakini hayupo pale, na upande wa magharibi, lakini siwezi kumwona. \v 9 Kaskazini, anapofanya kazi, lakini siwezi kumwona, na kusini, anapojificha hata nisimwone.