1 line
230 B
Plaintext
1 line
230 B
Plaintext
|
\v 11 Je, ukuu wake usingewafanya ninyi muogope? Je, utisho wake usingeshuka juu yenu? \v 12 Hadithi zenu za misemo ya kukariri, ni mithali zimetengenezwa kwa majivu; utetezi wenu ni utetezi uliotengenezwa kwa udongo wa mfinyanzi.
|