sw_jas_text_ulb/01/06.txt

1 line
295 B
Plaintext

\v 6 Lakini aombe kwa imani, bila shaka, kwa kuwa mwenye mashaka ni kama mawimbi katikati ya bahari, huchukuliwa na upepo na kutupwa huku na huko. \v 7 Kwa hakika mtu huyu asifikirie kwamba atapokelewa ombi lake kutoka kwa Bwana; \v 8 mtu huyu ana nia mbili, hana msimamo katika njia zake zote.