sw_jas_text_ulb/01/01.txt

1 line
268 B
Plaintext

\c 1 \v 1 Mimi Yakobo, mtumwa wa Mungu na wa Bwana Yesu Kristo, kwa makabila kumi na mbili yaliyotawanyika, nawasalim. \v 2 Hesabuni kuwa ni furaha zaidi, ndugu zangu, mnapopita katika majaribu mbali mbali, \v 3 mkijua kuwa kujaribiwa kwa imani yenu huwapa uvumilivu.