sw_jas_text_ulb/02/01.txt

1 line
507 B
Plaintext

\v 1 Ndugu zangu msiifuate imani ya Bwana Yesu Kristo, Bwana wa utukufu, kwa kupendelea watu fulani. \v 2 Kama mtu fulani akiingia kwenye mikutano yenu amevaa pete za dhahabu na mavazi mazuri, pia akaingia masikini mwenye mavazi machafu, \v 3 na mkaonyesha kumjali zaidi yule mwenye mavazi mazuri na kusema, "Tafadhari wewe keti hapa mahali pazuri" lakini mkamwambia yule masikini, "Wewe simama pale," au "Kaa chini ya miguu yangu." \v 4 Je, hamuhukumiani ninyi wenyewe, na kuwa waamuzi wenye mawazo mabaya?