sw_jas_text_ulb/01/17.txt

1 line
282 B
Plaintext

\v 17 Kila zawadi iliyo nzuri na kila zawadi iliyokamilika hutoka juu, hushuka chini kutoka kwa Baba wa nuru. Yeye habadilika kama kivuli kibadilikavyo. \v 18 Mungu alichagua kutupa sisi uzima kwa Neno la kweli, ili kwamba tuweze kuwa kama uzao wa kwanza miongoni mwa viumbe vyake.