Wed May 04 2022 20:53:54 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-05-04 20:53:55 +03:00
parent adbbee085c
commit f033a48406
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 21 Je, si baba yetu Abrahamu alihesabiwa haki kwa matendo alipomtoa mwanawe Isaka juu ya madhabahu? \v 22 Mnaona kuwa imani yake ilifanya kazi na matendo yake, na kwa matendo yake, imani yake ilifikia kusudio lake. \v 23 Maandiko yalitimizwa yasemayo, "Abrahamu alimwamini Mungu, na akahesabiwa kuwa ni mwenye haki." Hivyo Abrahamu aliitwa rafiki wa Mungu. \v 24 Mwaona kuwa kwa matendo mtu huhesabiwa haki, na si kwa imani tu.
\v 21 Je, Abrahamu baba yetu alihesabiwa haki kwa matendo alipomtoa mwanawe Isaka juu ya madhabahu? \v 22 Mnaona jinsi imani yake ilifanya kazi na matendo yake mema, na kwa matendo yake, imani yake ilifikia kusudio lake. \v 23 Maandiko yalitimizwa yasemayo, "Abrahamu alimwamini Mungu, na akahesabiwa kuwa ni mwenye haki." Hivyo Abrahamu aliitwa rafiki wa Mungu. \v 24 Mwaona kuwa kwa matendo mtu huhesabiwa haki, na si kwa imani tu.