Sat May 07 2022 20:27:37 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-05-07 20:27:38 +03:00
parent 4d9203b1b6
commit 45bec3052e
2 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 15 Hii siyo hekima ile ishukayo kutoka juu, lakini badala yake ni ya kidunia, si ya kiroho, na ni ya kipepo. \v 16 Kwa kuwa palipo na wivu na ubinafsi upo, kuna vurugu na kila matendo maovu \v 17 Lakini hekima itokayo juu, kwanza ni safi, kisha kupenda amani, upole na ukarimu, yenye kujaa rehema na matunda mema, bila kupendelea watu fulani, na kweli. \v 18 Na tunda la haki hupandwa katika amani kwa wale ambao wanatenda mambo ya amani.
\v 15 Hii siyo hekima ile ishukayo kutoka juu, lakini badala yake ni ya kidunia, si ya kutoka kwa Roho mtakatifu, ni ya kipepo. \v 16 Kwa kuwa palipo na wivu na ubinafsi upo, kuna vurugu na kila matendo maovu \v 17 Lakini hekima itokayo juu, kwanza ni safi, kisha kupenda amani, upole na ukarimu, yenye kujaa rehema na matunda mema, bila kupendelea watu fulani, na kweli. \v 18 Na tunda la haki hupandwa katika amani kwa wale ambao wanatenda mambo ya amani.

View File

@ -73,6 +73,7 @@
"03-07",
"03-09",
"03-11",
"03-13"
"03-13",
"03-15"
]
}