Sat Apr 23 2022 20:44:24 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-04-23 20:44:25 +03:00
parent a2318d377f
commit 156b004c52
2 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 17 Kila zawadi iliyo nzuri na kila zawadi iliyokamilika hutoka juu, hushuka chini kutoka kwa Baba wa nuru. yeye kubadilika kama kivuli kibadilikavyo. \v 18 Mungu alichagua kutupa sisi uzima kwa Neno la kweli, ili kwamba tuweze kuwa kama uzao wa kwanza miongoni mwa viumbe vyake.
\v 17 Kila zawadi iliyo nzuri na kila zawadi iliyokamilika hutoka juu, hushuka chini kutoka kwa Baba wa nuru. Yeye habadilika kama kivuli kibadilikavyo. \v 18 Mungu alichagua kutupa sisi uzima kwa Neno la kweli, ili kwamba tuweze kuwa kama uzao wa kwanza miongoni mwa viumbe vyake.

View File

@ -50,6 +50,7 @@
"01-06",
"01-09",
"01-12",
"01-14"
"01-14",
"01-17"
]
}