1 line
277 B
Plaintext
1 line
277 B
Plaintext
\v 12 Kwa hiyo Yesu naye aliteseka nje ya lango la mji, hili kwamba kuweka wakfu watu kwa Mungu kupitia damu yake. \v 13 Na kwa hiyo twendeni kwake nje ya kambi, tukizibeba fedheha zake. \v 14 Kwani hatuna makao ya kudumu katika mji huu. Badala yake tutafute mji ambao unakuja. |