\v 1 Basi upendo wa ndugu na uendelee. \v 2 Msisahau kuwakaribisha wageni, maana kwa kufanya hivi, baadhi wamewakaribisha malaika pasipo kujua.