sw_heb_text_ulb/01/10.txt

1 line
263 B
Plaintext

\v 10 Hapo mwanzo, Bwana, uliweka msingi wa dunia. Mbingu ni kazi za mikono yako. \v 11 Zitatoweka, lakini wewe utaendelea. Zote zitachakaa kama vazi. \v 12 Utazikunjakunja kama koti, nazo zitabadilika kama vazi. Lakini wewe ni yuleyule, na miaka yako haitakoma."