sw_heb_text_ulb/13/09.txt

1 line
430 B
Plaintext

\v 9 Usije ukaongozwa na mafundisho mbalimbali ya kigeni kwani ni vizuri kwamba moyo ujengwe kwa neema, na siyo kwa sheria kuhusu chakula hayo hayatawasaidia wale wanaoishi kwa hayo. \v 10 Tunayo madhabau ambayo wale wanaotumika ndani ya hekalu hawana haki ya kula. \v 11 Kwa kuwa damu za wanyama, zilizotolewa dhabihu kwa ajili ya dhambi, ililetwa na kuhani mkuu ndani ya sehemu takatifu, lakini miili yao ilichomwa nje ya kambi.