sw_heb_text_ulb/13/05.txt

1 line
297 B
Plaintext

\v 5 Basi njia zenu za maisha ziwe huru katika upendo wa pesa. Muwe wanoridhika na vitu mulivyonavyo, kwani Mungu mwenyewe alisema, "Sitawaacha ninyi kamwe, wala kuwatelekeza ninyi." \v 6 Basi tulidhikeni ili tusema kwa ujasiri, "Bawa ni msaidizi wangu; Sitaogopa. Mwanadamu aweza kunifanya nini?"