sw_heb_text_ulb/12/25.txt

1 line
359 B
Plaintext

\v 25 Angalia kuwa usije ukamkataa mmoja ambaye anenaye. Kwa kuwa kama hawakuepuka walipomkataa mmoja aliye waonya duniani, kwa hakika hatutaepuka ikiwa tutageuka mbali kutoka kwa yule atuonyaye kutoka mbinguni. \v 26 Kwa wakati huo sauti yake ilitikisa dunia. Lakini sasa ameahidi na kunena, "Bado mara nyingine tena sitatikisa dunia pekee, bali mbingu pia."