sw_heb_text_ulb/12/04.txt

1 line
349 B
Plaintext

\v 4 Hamjataabika au kuteseka mkishindana na dhambi kiasi cha kuishiwa damu. \v 5 Tena mmesahau kule kutiwa moyo ambako kunawaelekeza kama watoto wa kiume: "Mwanangu, usiyachukuwe kwa wepesi marudia ya Bwana, wala usikate tamaa unapo rekebishwa na yeye." \v 6 Kwa kuwa Bwana humrudi yeyote ambaye anampenda, na humwadhibu kila mwana ambaye humpokea.