sw_heb_text_ulb/11/17.txt

1 line
360 B
Plaintext

\v 17 Ilikuwa ni kwa imani kwamba Ibrahimu baada ya kujaribiwa, alimtoa Isaka. Ndiyo, yeye ambaye alipokea kwa furaha ahadi, alimtoa mwanawe wa pekee, \v 18 ambaye juu yake ilinenwa, "Kutoka kwa Isaka uzao wako utaitwa." \v 19 IbrahImU alijua kwamba Mungu alikuwa na uwezo wa kumfufua Isaka kutoka katika wafu, na kwa kuzungumza kwa lugha ya maumbo, alimpokea.