\v 30 Kwakuwa tunajua mmoja ambaye aliyesema, "Kisasi ni changu, nitalipa". Na tena, "Bwana atawahukumu watu wake". \v 31 Ni jambo la kuogofya mtu kuangukia katika mikono ya Mungu aliye hai!