1 line
470 B
Plaintext
1 line
470 B
Plaintext
\v 8 Alisema kama ilivyo semwa hapo juu: "Hamkutamani dhabihu, matoleo, au sadaka ya kuteketezwa kwa ajili ya dhambi, wala hukuona furaha ndani yake" dhabihu ambazo zinatolewa kulingana na sheria. \v 9 Kisha alisema, "Ona, niko hapa kufanya mapenzi yako". Ameweka pembeni taratibu zilizo za awali ili kuimarisha zile za pili. \v 10 Katika taratibu za pili, tumekwisha tengwa kwa Mungu kwa mapenzi yake kupitia kujitoa kwa mwili wa Yesu Kristo mara moja kwa nyakati zote. |