sw_heb_text_ulb/10/05.txt

1 line
328 B
Plaintext

\v 5 Wakati Kristo alipokuja duniani, alisema, "Hamkutamani matoleo au dhabihu, badala yake, mliandaa mwili kwa ajili yangu. \v 6 Hamkuwa na thamani katika matoleo yote ya kuteketezwa au dhabihu kwa ajili ya dhambi. \v 7 Kisha nilisema, "Ona, hapa ninayafanya mapenzi yako, Mungu, kama ilivyoandikwa kunihusu mimi katika gombo".