sw_heb_text_ulb/09/27.txt

1 line
272 B
Plaintext

\v 27 Kama ilivyo kwa kila mtu kufa mara moja, na baada ya hiyo huja hukumu, \v 28 ndivyo hivyo Kristo naye ambaye alitolewa mara moja kuziondoa dhambi za wengi, atatokea mara ya pili, si kwa kusudi la kushughulikia dhambi, bali kwa ukombozi kwa wale wamgojeao kwa saburi.