1 line
347 B
Plaintext
1 line
347 B
Plaintext
\v 18 Hivyo hata si lile agano la kwanza lilikuwa limewekwa pasipo damu. \v 19 Wakati Musa alipokuwa ametoa kila agizo la sheria kwa watu wote, alichukua damu ya ng'ombe na mbuzi, pamoja na maji, kitambaa chekundu, na hisopo, na kuwanyunyizia gombo lenyewe na watu wote. \v 20 Kisha alisema, "Hii ni damu ya agano ambayo Mungu amewapa amri kwenu". |