sw_heb_text_ulb/07/22.txt

1 line
256 B
Plaintext

\v 22 Kwa hili Yesu pia amekuja kuwa dhamana ya agano bora. \v 23 Kwa hakika, kifo huzuia makuhani kuhudumu milele. Hii ni kwa sababu walikuwapo makuhani wengi, mmoja baada ya mwingine. \v 24 Lakini kwa sababu Yesu anaishi milele, ukuhani wake haubadiliki.