1 line
367 B
Plaintext
1 line
367 B
Plaintext
\v 15 Na haya tusemayo ni wazi hasa ikiwa kuhani mwingine atatokea kwa mfano wa Melkizedeki. \v 16 Kuhani huyu mpya siyo mmoja ambaye amekuwa kuhani juu ya msingi wa sheria zinazohusiana na uzao wa mtu, lakini katika msingi wa nguvu ya maisha yasiyoweza kuharibika. \v 17 Hivyo maandiko yanashuhudia kuhusu yeye: "Wewe ni kuhani milele baada ya mfumo wa Melkizedeki." |