sw_heb_text_ulb/07/01.txt

1 line
467 B
Plaintext

\v 1 Ilikuwa hivi Melkizedeki, mfalme wa Salemu, Kuhani wa Mungu aliye juu, aliyekutana na Abrahamu akirudi kutoka kuwaua wafalme na akambariki. \v 2 Abrahamu alimpa moja ya kumi ya kila kitu alichokuwa amekiteka. Jina lake "Melkizedeki " maana yake" mfalme wa haki" na pia "mflame wa Salemu" ambayo ni "mfalme wa amani." \v 3 Hana baba, hana mama, hana wazazi, hana mwanzo wa siku wala mwisho wa maisha yake. Badala yake, anabakia kuhani milele, kama mwana wa Mungu.