sw_heb_text_ulb/06/13.txt

1 line
297 B
Plaintext

\v 13 Kwa maana Mungu alipompa Abrahamu ahadi, aliapa kwa nafsi yake, kwa kuwa asingeliapa kwa mwingine yeyote aliye mkubwa kuliko yeye. \v 14 Alisema, "Hakika nitakubariki, na nitauongeza uzao wako zaidi." \v 15 Kwa njia hii, Abrahamu alipokea kile alichoahidiwa baada ya kusubiria kwa uvumilivu.