sw_heb_text_ulb/04/03.txt

1 line
447 B
Plaintext

\v 3 Kwa sisi, ambao tumekwisha amini-sisi ndio miongoni tutakaoingia katika lile pumuziko, Kama inavyosema, "Kama nilivyoapa kwa hasira yangu, Hawataingia katika pumziko mwangu." Alisema hili, ingawa kazi zote alizotengeneza zilikuwa zimekamilika tangu mwanzo wa ulimwengu. \v 4 Kwani ameshasema sehemu fulani kuhusu siku ya saba, "Mungu alipumzika siku ya saba katika yote aliyoyafanya." \v 5 Tena ameshasema, "Hawataingia kwenye pumziko langu."